On Demand8 January 2023

Nawaza - OgaObinna the Oga@DTop

THIS IS A PRAYER. LYRICS. . Nawaza * Ai, ya yah...x 8. Me nawaza Sana..x2 Nimewaza sana...x2 Me nangoja sana..x4 . Ninapoimba wananidharau Nyimbo zangu wanazisahau Wanasema mara mi si.. Wanacheka eti mi si.. Ninapo posti video hawaview.. Na wengine wameja na wivu. Binadamu wamejaa na complain Wanasema nifall into lane.. Wanasema nawachekesha... Muziki zangu zawaChokeshaa. Watoto wangu wanapendeza.. Nimekwama kwenye Dilemma.. Mara niimbe nisiimbe..(imba e) Hata nivume nisivume...(vimba e) Na wakununa na wanune.. (Nuna- e) Muziki zangu ntazieneza..LORD Japo siku moja mola. Atakuja nibariki na ma-dollar Dunia nzima mashabiki Maradona.. Hivi sasa ni Kuimba na Kuomba tu.. Ai, ya yah...x 4 Me nawaza Sana..x2 Nimewaza sana...x2 Me nangoja sana..x4 War.. ,wowowo war... War ,war.. War wo wo..War.. War...wo wowo war war.. Wowo...War war... Hivi safari inapoanza haianzi mwisho, yaanzo mwanzo. Kila mtu safari yake,Barbara zake na mungu wake.. Na hata mimi si wa kwanza..na si wa mwisho..wa katika Hivi sasa nimeanza nakamilisha hadi tamati.. Wanangoja me ni bume unazidi kubless.. Wanangoja me nichoke me nazidi kuRace.. Wanuliza me naimba? Wanabaki clue less Wanaotaka chuki nami wanabaki FOOLISH... Ai, ya yah...x 4 Me nawaza Sana..x2 Nimewaza sana...x2 Me nangoja sana..x4

Open on YouTube →